Ni Kitu gani au Njia ipi itatufanikisha katika Maisha haya tuliyonayo?
Ulimwengu tuliopo umejaa changamoto kibao ambazo kwazo zaweza kuwa vizingiti au vishwawishi vya kufanikiwa maishani. Ni kwa namna gani sasa tunaweza kuvuka hivi vizingiti ama kutumia vishawishi/viwezeshi ili tuweze kufanikiwa katika maisha hili ndilo suala la msingi. Karibu kwa michango ya mawazo
2 comments:
Nashukuru sana kwa mada hii hiki ni kitu muhimu sana chakwanza nikujuwa mambo muhimu kwenye maisha cha kwanza unatakiwa ujifahamu wewe mwenyewe pili ufahamu jamii inayokuzunguka na tatu ufahamu changamoto zinazokuzunguka pia bila kusahau lazima uwe unathubutu kujaribu maana hiyo ndio njia namba mojaa yakuweza kuwa mjasiliamali halisi mpaka hapo kwa kweli lazima utoke katika haya maisha ambayo yanahitaji kila siku kuthubutu ili uweze fanikiwa
Nakubaliana nawe Bwana Elly. Naona hiyo ndiyo njia ya pekee watu kutoka katika kibano cha hali ngumu ya maisha!
Post a Comment